Mchungaji kutoka Nigeria, Frank Kabele (35) amesombwa na maji katika mto mmoja nchini humoo na kufariki alipojaribu kutembea juu ya maji kama Yesu.
Frank Kabele aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani.
Aliwaahidi wafuasi wake kuwa atatembea juu ya maji pindi tu atakapomaliza maombi yake.
Lakini mambo yalienda ndivyo sivyo baada ya mchungaji huyo kujaribu
kutembea katika mto mkubwa, alididimia mtoni humo na ilikuwa vigumu kwa
waumini wake kumsaidia kwani maji yalikuwa na nguvu nyingi na kufariki
dunia.
hahah...kilimsibu nini kutembea juu ya maji wakati hakua na uwezo huo au imani yake iliishia katikati?
ReplyDelete